please login or register first!
Tunaelewa kuwa kupata malighafi bora za kilimo na viwanda ni muhimu kwa mafanikio ya biashara yako. Tilionea Logistics inatoa huduma ya haraka na bora za kununua malighafi kupitia tovuti yetu www.tilionealogistics.online. Tunahakikisha bidhaa zako zitafika kwa usalama na kwa wakati, na pia tunakusaidia kutafuta masoko ya kimataifa kwa malighafi zako. Huduma yetu ya usafirishaji inahakikisha malighafi zako zinawasili bila uharibifu na kwa wakati. Tunatoa malighafi kutoka kwa vyanzo vya kuaminika