please login or register first!

quick view

ASALI SAFI KWA AFYA YA KILA SIKU
$180000/-
Tunatoa asali safi ya asili, iliyojaa virutubishi muhimu kwa mwili wako. Asali yetu inapatikana kwa urahisi na inasaidia kuongeza kinga ya mwili, kuboresha digestion, na kuongeza nguvu. Imejaa nishati ya asili inayosaidia kuboresha afya yako ya kila siku. Pata faida ya asali ya kiasili, bila kemikali wala viambato vya ziada. Asali yetu ni bora kwa matumizi ya kila siku, ikiwa ni pamoja na matumizi kama kiongeza ladha kwenye vyakula na vinywaji. Tunahakikisha kuwa asali inapatikana kwa bei nzuri